Warioba Kuchafua hali ya Hewa Bungeni



Umesema kuwa atayafanya hayo kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Sasa suala la kuwachanganya watu linatokea wapi? Yeye atakuwa anawaeleza tu wajumbe kuwa hata hayo makubaliano yawe ndani ya sheria husika na isiwe ni suala la bora liende au funika kombe mwanaharamu apite
 
Mtoa mada ndio angalia upepo sio Warioba. Yule Mzee anajua anachokifanya na amekidhi vigezo vyote sio kwa kuhadithiwa yeye alikuwepo na alihusika na amefanya kazi yake kwa wananchi na sio mnafki. WW NDIO PIMA UPEPO.
 
Huyu ni shushushu na yupo ndani ya bunge. Anachotaka ni kupre empty mazungumzo atakayotoa Warioba na kumjengea dhana mbaya hata kabla hajazungumza anachokikusudia. Si vyema mnavyopenda kuwa lazima viwe. Naunga mkono kura ya siri naunga mkono serikali tatu.
 
Kwa nini warioba anataka kulazimisha matakwa yake aache wajumbe wapime na kuamua kipi chema au kipimhakifai kwenye rasimu yake.

Tofauti na wengine yeye ametafiti na Kwa ajili Ana haki ya kuzungumzia matokeo ya tafiti. Sio mbinafsi!
 
Wasiwasi Wa nini?warioba anaenda kuzungumza mawazo ya wananchi na wajumbe nao inasemekana wanawakilisha wananchi sasa hofu ya nini kama wote tunaenda kusema tuliyotumwa na watanzania....muacheni Mzee wa watu...uchu tu
 
Wewe bure kabisa unataka mzee warioba azungumze nini zaidi ya kusema ukweli?hana haja ya kuwafurahisha watu wachache kama ninyi muache mzee azungumze facts siyo kupima upepo kwani yeye ni fundi matairi
 
Mnaweweseka tu... Warioba ana back up ya watanzania milioni 7 waliotoa maoni. Ninyi mmejifungia Lumumba vifisadi viwili vitatu mnakuja na hadithi zenu hapa...
 
warioba alishapewa muda wake wa kutosha na anayoyataka yamewekwa ktkt hiyo rasimu,sasa aache na wenye majukumu kwa sasa wafanye kazi, sasa hivi sio wakati wake.Na watanzania tunajua katiba ipi inaufaa musipigei debe mawazo/maoni ya wachache Wabunge ndio watu sahihi kujadili kwa sasa na si mtu mwingine, hatakama wawakilishi wakitusaliti Mungu hatatuacha!
 

Wananchi wachache? Are you kidding? Hao wabunge wako ndo wachache!
 

Haya ni maji taka ambayo hata nguruwe hawezi kuyasogelea. ...hapo kuna nini cha ajbu ulichokitolea umbeya ambacho hakijulikani?
 
Weston Songoro naona ulichoandika zaidi ni hisia na utashi wako na wa huyo 'mtonyaji' habari wako! Mzee Warioba anawajibu wa kufafanua kwa vizuri na undani zaidi kile kilichokusanywa na tume yake na wewe huna nafasi ya kumshauri vinginevyo...eti asiongelee kura ya siri au wazi, mara nani atawasemea wanaotaka serikali moja, nne, tano au...
Mzee Warioba hamung'unyi maneno and please let him call a spade a spade and not a hoe! .....
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Mkuu. Yaliyomo kwenye rasimu ya Katiba ni mawazo au mchango au maoni ya Watanzania walio wengi. Warioba hatachafua hali ya hewa, bali Wabunge wetu ndio wachafuzi wa hali ya hewa kwa kugombea maslahi ya vyama, sio siri CCM inaongoza kwa hilo. Wengine walisema zamani ''OLD HABITS DIE HARD'' CCM haitaki mabadiliko na inataka kuwaburuza hata Wabunge wake wafuate msimamo wa chama wakati Wabunge wanatakiwa waunge mkono matakwa ya Wananchi wanaowawakilisha.
 
Kwa nini warioba anataka kulazimisha matakwa yake aache wajumbe wapime na kuamua kipi chema au kipimhakifai kwenye rasimu yake.














Mkuu, wewe ni kama Mjumbe wa Bonge la Katiba unaunga mkono Serikali ngapi?
 













''Walioba'' ndiyo nani?
 
Umetumwa pole sana tunajua wasira ndiye amekutuma kwa sababu ndiye awaelewani na mzee waryoba akuna mwingine zaidi ya wasira kukutuma uje haps kumchafua mzee wetu
 
kama wajumbe wana uwezo wa kupima mbona ccm wako na mchecheto wa sera ya chama
 
unataka aangalie upepo kwa kusema serikali mbili?anayokwenda kuyasema ndiyo yaliyomo kwenye rasimu,na kimsingi ndio maoni ya wananchi.Haijalishi kama hao 'kasuku'wa lumumba wanataka kuyasikia ama la!
 
atafanya vema, kwani hao wabunge hasa wa kitoka vyama vya siasa na chama chenye wabunge wengi, wanajifanya kama vile wao ndo wamekusanya maoni ya wananchi. anelekea kuwaelekeza hali ilivyokuwa ktk field
 
Unajua tuwe wakweli tu tokea mwanzo,ccm hawakutaka katiba mpya hata hii vurugu inayoendelea wao wanahusikatime, will tel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…