Warioba na polepole endeleeni kutetea katiba kama hapo mwanzo

Warioba na polepole endeleeni kutetea katiba kama hapo mwanzo

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,362
Reaction score
6,274
Kwa muda mrefu mmejua akipiga kelele kwenye media akitetea katiba ile ya serikali tatu sijui nini kilitokea lakini naamini ni uchaguzi ndio ulifanya mnyamaze sasa naomba kutetea serikali tatu maana tanganyika lazima irudi tunaomba mshirikiane jukwaa la katiba na kuendelea kufanya na kuelimisha jamii kuhusu katiba mpya ikiwemo kuikataa katiba pendekezwa ya masisiem kuhusu gharama wala msiwaze polepole nitakulipia vipindi vyote vya channel ten vitakavyo utakavyo shiriki kuhusu katiba mpya
 
Wamechafuka tayari!!
Hata wakirud kwa wananchi hawataeleweka.
Wameitetea ccm iliyobomoa katiba yao nan ataitengeneza
Tena???

Tusitegemee katiba mpya chin ya utawala huu labda tubadili namna ya kuidai!!
 
Serikali moja tu inatosha, tatu na mbili ni gharama.
Ni wakatu muafaka kwa Magufuli kuifuta serikali ya znz
 
Back
Top Bottom