Warioba: Nilimwambia Nchimbi CCM inakufa

Hata hivyo Nyerere hakua mtu mbaya,waliokua wakipigwa shoti walikua ndio watu waovu.
Ushahidi ni Nyerere alikufa masikini, wakati Hawa viongozi wa Leo ni majambazi wanaoiibia nchi.
Hivyo Warioba alikua sawa.
Hapana.
Mwalimu Nyerere "hakufa maskini."
Atakufaje maskini wakati kaacha taifa alilolitumikia kwa uzalendo mkubwa likiwa tulivu na ushikamano?

Wanaokufa maskini ni hawa akina Kikwete ; Samia na Genge lote wanaolitumbukiza taifa kwenye majanga makubwa.
 
Warioba alikuwa ni watu wachache Tanzania waliokuwa na uwezo wa kumkatalia Nyerere amri zake zilizokuwa kinyume na sheria.

Soma historia mambo yapo kwenye rekodi.
Unahangaika na Chawa hao wenyewe wako kazini sio kijadili mbo ya nchi
 
Siku hizi kila nikilala... Nalala naomba s100na genge lake wapigwe stroke wafe kifo cha miqundu juu!!. Na naamini mpk April 22 atakuwa amepigwa stroke .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…