Warioba unageukageuka sana kuna nini unacho kiogopa?




Yes. Hakuna anayebariki ufisadi. Ila baadhi ya msingi ya kiutawala inaweza kuwafanya mjikute kwenye huo ufisadi. Hivyo ndivyo ilivyo. Kwa mfano madaraka aliyopewa DPP ni makubwa sana. Anaweza yeye kwa matakwa yake akaifuta kesi yoyote bila kuulizwa na mtu yoyote. Na imo kwenye sheria za nchi. Sasa inapotokea kuna corrupt leaders na yeye akawa corrupt unategemea nini hapa?

Kwa hiyo issue siyo kupiga kelele kuhusu Mafisadi au matumizi mabaya ya ofisi. Ni lazima kwanza tupige kelele hizi kanuni/sheria ziondolewa au zibadilishwe then the rest can be easily tackled.

It is very hard/impossible to incriminate Mramba/Yona.
 
Warioba ana issue ambayo ingelikuwa nzuri km angelitumia vema alama zake za addition na subtraction. Angeunganisha hoja yake kwa alama ya "+", hoja hiyo ingelikuwa na uzito, lkn amefanya: hoja yake - ufisadi = umuhimu. This is ridiculous!
 
He is involved in Tangold. We do not know why but we will find out soon. Time will tell.
 
Kwani warioba anamiaka mingapi ?,isijekuwa uzee unamsumbua lakini uongozi wa mafisadi ndio uliotufikisha hapa,yeye hajui hilo kwani bado anagharamiwa na serikali.

nilisoma naye darasa moja na mimi sijafika miaka 70. sasa sana atakuwa umri sawa na mimi au mramba- miaka 69 tu.

macinkus
 
nilisoma naye darasa moja na mimi sijafika miaka 70. sasa sana atakuwa umri sawa na mimi au mramba- miaka 69 tu.

macinkus

Hongera mkuu, kama una miak hiyo si haba! na kama kwa umri wako umeweza kwenda na spidi ya utandawazi kwenye mawasiliano si haba. naamini unakula pensheni sehemu fulani hongera tena!
 
Huyu Warioba sasa nadhani anachanganyikiwa kwa vile nae wamesema watampadisha kizimbani kuhusiana na mgodi mmoja wa dhahabu sasa anaona afadhakli awapoze pengine watamhurumia! Anazungumzia kutatua kero za wananchi; utawezaje kutatua shida za wananchi bila kuwa na resources na hizo ndizo hao mafisadi wamezikomba kwa kutumia powers tulizowapa? Kama viongozi ni corrupt kama alivyokuwa Ben, ni lazima wahukumiwe na waadabishwe kwasasbabu matendo yao yamewatesa mamilioni ya watu na wengine kufa.Regime vchange is necessary whenever there is a failure in leadreship!! Nature abhors a vacuum!!
 
.........I don't thnk you need to read something you don't understang.........

It is not about not understanding what you wrote ... it's rather your choice of words in your article! .... if you want a decent debate you need to repect the people in this forum .... go back and read what you have written.

And then you write this:

Yes. Ghana wanachukua 4% mrahaba wa madini wakati Nigeria number six Duniani kwa petrpleum wanamakata only 31% ya mapato ya mafuta. SA wenyewe kwa kuwa wana miundo mbinu mizuri wamefanikwa kupata 12% out of minerals kama mrahaba. This is the highest in the World. Wengine wapo kati hapo. Tz?

Hujawahi kujiuliza, hawa Nigeria pamoja na wealthy yote hii waliyonayo inakuwaje life is so moserable kule that they are all over the World doing filthy works??


Do you really understand the difference between minerals tax regime and oil & gas tax regime?
 
"Yes. Ghana wanachukua 4% mrahaba wa madini wakati Nigeria number six Duniani kwa petrpleum wanamakata only 31% ya mapato ya mafuta. SA wenyewe kwa kuwa wana miundo mbinu mizuri wamefanikwa kupata 12% out of minerals kama mrahaba. This is the highest in the World."


Sasa wewe mwenyewe mbona unajichanganya. Tanzania tunachukua 1.1% tu, Baada ya Alex stewart kulamba 1.9% ya ile 3% mrahaba. Halafu unasema huoni tatizo la mikataba mibovu walioingia wakati mifano ya nchi nyingine unayo.
 



Somo mjadala toka mwanzo. Umedandia ndiyo maana unatoa comments hizi
 
Hii ni mada kushika kasi ama watu kuchanganya madawa kwa makusudi ili hoja isijadilike au ndiyo mifano ya kujadili hoja ya Waryuba ?
 
Warioba anahisi kukalia kuti kavu kwamba soon lita anguka ama inakuwaje ?
 
Mzee warioba umetimiza wajibu wako, rudi bunda ukapumzike!!!!!!!!
 
Mzee warioba umetimiza wajibu wako, rudi bunda ukapumzike!!!!!!!!

Bunda hana wa kumsikia inabidi apigie kelele huko huko Obay maana kule Chadema wamesha komba watu wake wote .
 



Bado huelewi wewe. Soma tena na tena!. Then uliza tu utapa jibu sahihi. Ghana na SA wana oil wapi? Moreover, tax regime, iwe ya oil& gas au yoyote ile huwa ni country specific. Usiongee vitu hovyo hovyo humu
 
Ni lazima ang'ate na kupuliza!!! Kwani ile saga ya coy ya madini shareholding with the Bank of Tz ambayo nayo inachunguzwa atapona!!!! Ameshtuka mkulu anakuchekea huku maji yanachemka!!! ila ndo hivyo tena politics ni dead game!!
 

Anasema maendeleo hayaletwin na viongozi ...


Lakini ni sawa kumpa credit kiongozi kwa maendeleo yaliyotokea ....

Kwa kifupi anasema matatizo yote mnajitakia wenyewe, mafanikio yote yanaletwa na viongozi wenu.

Well, hiyo argument viongozi wengi huwa wanitumia sana, kwa hiyo hayuko peke yake. Lakini kumsikia yeye tena akiitumia inaniamsha kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…