Warioba vs Shivji

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Kumekuwa na mkanganyiko kutokana na views za watu tofauti kuhusiana na rasimu ya pili ya katiba ya Tanzania,Proffesor Issa shivji anasema kuwa rasimu siyo Msaafu mpaka isobadilike huyu ni moja wa mabingwa wa sheria katika masuala ya katiba pia Jaji warioba anasema bunge la katiba halina nguvu ya kubadilisha mambo ya msingi katika katiba.

Hoja hii anaitetea kutumia kifungu cha 25 cha sheria ya marekebisho ya katiba pia logically kama wananchi kupitia tume walianisha mambo ya msingi wanayo yataka ..iweje bunge iyabadilishe.

Je katiba si kwa ajili ya watu ?

Hizo ni hoja za Jaji warioba pamoja Proffesor Issa Shivji,upi ni mtizamo wako katika hili ?

Je Nguvu ya bunge maalum la katiba ipo katika Mipaka Ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…