Warithi wa Manara

Warithi wa Manara

Jerlamarel

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
843
Reaction score
2,525
Klabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda kuwa wahamasishaji wapya wa klabu hiyo, kazi aliyokuwa akiifanya aliyekuwa Msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara.

.jpg

Umewapokeaje wahamasishaji hawa?

Binafsi sina neno ila nina swali moja tuu, Je hawa wana mikataba?
 
Klabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda kuwa wahasishaji wapya wa klabu hiyo, kazi aliyokuwa akiifanya aliyekuwa Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara.

View attachment 1981932

Umewapokeaje wahamasishaji hawa?

Binafsi sina neno ila nina swali moja tuu, je hawa wana mikataba?
Hakuna Wahamasishaji hapo bali kuna Waganga Njaa tupu kama Mimi tu na walichonizidi ni kuwa Maarufu katika Jamii, kuwa Chawa Magegedu na Kujikomba kwa Matajiri huku Mimi nikiwa Maarufu tu hapa JamiiForums (Home of Great Thinkers) ambako tunaficha Identities zetu

Mmoja hapo ni Simba Usoni tu ila Moyoni ni Yanga tupu na mwingine Mpira kaanza Kuufuatilia Miaka Miwili tu iliyopita na huko nyuma Yanga SC ilipokuwa ya Moto alikuwa akiipenda sana tu.

Hawa wakiteuliwa na Simba SC kuwa Wasemaji au Wahamasishaji nitaidharau Klabu yangu mpaka Umauti na huenda hata nikaacha Kuishabikia pia.

Ikiwa Simba SC wanataka kweli Msemaji na Mhamasishaji wa uhakika waje hapa JamiiForums na Zanaki, Makuwa and Tutsi Philosopher GENTAMYCINE Mimi nitawatajia Mtu sahihi na kamwe hawatojutia kuwa nae.

Hawa Wawili hapa Pichani ni bure wote.

Cc: Daudi Mchambuzi
 
Hakuna Wahamasishaji hapo bali kuna Waganga Njaa tupu kama Mimi tu na walichonizidi ni kuwa Maarufu katika Jamii, kuwa Chawa Magegedu na Kujikomba kwa Matajiri huku Mimi nikiwa Maarufu tu hapa JamiiForums ( Home of Great Thinkers ) ambako tunaficha Identities zetu

Jukumu lako wewe ni kushangilia tu na si vinginevyo, Mambo mengine tuwaachie viongozi Simba ni Taasisi sio timu ya ukoo wenu we zuzu.
 
Hakuna Wahamasishaji hapo bali kuna Waganga Njaa tupu kama Mimi tu na walichonizidi ni kuwa Maarufu katika Jamii, kuwa Chawa Magegedu na Kujikomba kwa Matajiri huku Mimi nikiwa Maarufu tu hapa JamiiForums ( Home of Great Thinkers ) ambako tunaficha Identities zetu

Mmoja hapo ni Simba Usoni tu ila Moyoni ni Yanga tupu na mwingine Mpira kaanza Kuufuatilia Miaka Miwili tu iliyopita na huko nyuma Yanga SC ilipokuwa ya Moto alikuwa akiipenda sana tu.

Hawa wakiteuliwa na Simba SC kuwa Wasemaji au Wahamasishaji nitaidharau Klabu yangu mpaka Umauti na huenda hata nikaacha Kuishabikia pia.

Ikiwa Simba SC wanataka kweli Msemaji na Mhamasishaji wa uhakika waje hapa JamiiForums na Zanaki, Makuwa and Tutsi Philosopher GENTAMYCINE Mimi nitawatajia Mtu sahihi na kamwe hawatojutia kuwa nae.

Hawa Wawili hapa Pichani ni bure wote.

Cc: Daudi Mchambuzi
tunawakubali Wahamasishaji wetu. Wewe kenge nenda mwana kwenda. Tuache na Simba yetu. Kwenu Ni UTOPOLONI mak*lio wewe.

Unajifanya Simba. Fuata yule msukule.

SISI NI MASHABIKI WA SIMBA siyo MASHABIKI WA MTU AU KIKUNDI CHA WATU.

wenzako Hawa hapa[emoji116]
JamiiForums-1315396530.jpg
 
FIFA walitusaidia mpaka wakatuandalia semina vilabu viwe na wasemaji, watu wa fedha na watendaji wa kuajiriwa sisi tunaajiri wahamasiahaji ndio maana mpira wetu hauendelei
 
Back
Top Bottom