Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Hakuna Wahamasishaji hapo bali kuna Waganga Njaa tupu kama Mimi tu na walichonizidi ni kuwa Maarufu katika Jamii, kuwa Chawa Magegedu na Kujikomba kwa Matajiri huku Mimi nikiwa Maarufu tu hapa JamiiForums (Home of Great Thinkers) ambako tunaficha Identities zetuKlabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda kuwa wahasishaji wapya wa klabu hiyo, kazi aliyokuwa akiifanya aliyekuwa Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara.
View attachment 1981932
Umewapokeaje wahamasishaji hawa?
Binafsi sina neno ila nina swali moja tuu, je hawa wana mikataba?
Mkuu watu wengi wanachanganya afisa habari wa team na muhamasishaji wa team. Kuamini maneno yangu ona kichwa cha habari cha mleta mada na michango ya wadau utaamini maneno yangu.Hivi Manara alikua msemaji au mhamasishaji, mbona mnakuwa viraza hivi
Mtajinyonga, mnayotamani hayata timia.Hii timu inazidi kudidimia siku hadi siku
Jukumu lako wewe ni kushangilia tu na si vinginevyo, Mambo mengine tuwaachie viongozi Simba ni Taasisi sio timu ya ukoo wenu we zuzu.Hakuna Wahamasishaji hapo bali kuna Waganga Njaa tupu kama Mimi tu na walichonizidi ni kuwa Maarufu katika Jamii, kuwa Chawa Magegedu na Kujikomba kwa Matajiri huku Mimi nikiwa Maarufu tu hapa JamiiForums ( Home of Great Thinkers ) ambako tunaficha Identities zetu
Mmoja hapo ni Simba Usoni tu ila Moyoni ni Yanga tupu na mwingine Mpira kaanza Kuufuatilia Miaka Miwili tu iliyopita na huko nyuma Yanga SC ilipokuwa ya Moto alikuwa akiipenda sana tu.
Hawa wakiteuliwa na Simba SC kuwa Wasemaji au Wahamasishaji nitaidharau Klabu yangu mpaka Umauti na huenda hata nikaacha Kuishabikia pia.
Ikiwa Simba SC wanataka kweli Msemaji na Mhamasishaji wa uhakika waje hapa JamiiForums na Zanaki, Makuwa and Tutsi Philosopher GENTAMYCINE Mimi nitawatajia Mtu sahihi na kamwe hawatojutia kuwa nae.
Hawa Wawili hapa Pichani ni bure wote.
Cc: Daudi Mchambuzi
Viraza .....Hivi Manara alikua msemaji au mhamasishaji, mbona mnakuwa viraza hivi
Wewe unataka nini au unatakaje. Simba imetangaza WAHAMASISHAJI siyo msemaji.Hivi Manara alikua msemaji au mhamasishaji, mbona mnakuwa viraza hivi
tunawakubali Wahamasishaji wetu. Wewe kenge nenda mwana kwenda. Tuache na Simba yetu. Kwenu Ni UTOPOLONI mak*lio wewe.Hakuna Wahamasishaji hapo bali kuna Waganga Njaa tupu kama Mimi tu na walichonizidi ni kuwa Maarufu katika Jamii, kuwa Chawa Magegedu na Kujikomba kwa Matajiri huku Mimi nikiwa Maarufu tu hapa JamiiForums ( Home of Great Thinkers ) ambako tunaficha Identities zetu
Mmoja hapo ni Simba Usoni tu ila Moyoni ni Yanga tupu na mwingine Mpira kaanza Kuufuatilia Miaka Miwili tu iliyopita na huko nyuma Yanga SC ilipokuwa ya Moto alikuwa akiipenda sana tu.
Hawa wakiteuliwa na Simba SC kuwa Wasemaji au Wahamasishaji nitaidharau Klabu yangu mpaka Umauti na huenda hata nikaacha Kuishabikia pia.
Ikiwa Simba SC wanataka kweli Msemaji na Mhamasishaji wa uhakika waje hapa JamiiForums na Zanaki, Makuwa and Tutsi Philosopher GENTAMYCINE Mimi nitawatajia Mtu sahihi na kamwe hawatojutia kuwa nae.
Hawa Wawili hapa Pichani ni bure wote.
Cc: Daudi Mchambuzi
Yupo huyu bibi???Bora wangempa Bihindu