Huu mchezo ni balaa kabisa, yaani ni mchezo wa kikatili! Angalieni hii clip hapa chini bondia aitwaye Paul Ingle (alikuwa world welter weight champion) aliingia ulingoni akiwa mzima kabisa, lakini alichakazwa na kuondolewa ulingoni kwa machela akiwa maiti! Na wakati anabebwa akiwa maiti kwenye machela, mashabiki walikuwa wanashangilia kwa kupiga makofi, makelele, miluzi nk!
[media]http://www.youtube.com/watch?v=ymL5wmuM5C8&feature=related[/media]