{Warning} Kenya’s crushing debt to China, threatens to lease its port of Mombasa to Chinese for 99+ years

Labda utwambie food donation ni gapi. Kenya does not ask for donations. Na BTW the last two years were drought filled. But necessity is the mother of invention. Now we are motivated to look for solutions to the problem.
Kenya Receives Relief Food Donated by U.S.
Tangu Kenya ipate uhuru imeendelea kupokea msaada wa chakula, tatizo sio ukame bali ni kwamba ardhi kubwa yenye rutuba ipo mikononi mwa mapepari ambao wanalima maua au mazao ya biashara, hawashughuliki na uzalishaji wa chakula. Kenya ubepari unajali zaidi faida bila kutilia umuhimu mahitaji ya msingi, hilo Golana irrigation project, kamwe halitozalisha chakula cha kutosha kwasababu wafanya biashara wanaoingiza chakula watakosa biashara.
 
Watamaliza maskini wote kwa kuwanunua huo ndo ukoloni wakileo
Nikuturundukia madeni na kwa tamaa zetu tunakubali baada kutwaliwa rasilimali zetu
 
Did you know the most affected are nomadic tribes? Hao wako na land kubwa the problem is the drought. But worry not it's a Kenyan problem
 
Did you know the most affected are nomadic tribes? Hao wako na land kubwa the problem is the drought. But worry not it's a Kenyan problem
Kwani ni lazima nchi yote ilime au izalishe chakula?, mbona mnaongoza kwa kulima chai, kwani Kenya yote inalima chai?, 20% ya ardhi ya Kenya ina rutuba, you need only 5% to produce enough food for the whole country, in Tanzania we have only six regions out of 26 six which are producing 80% of all food, enough to feed Tanzania, Kenya, Rwanda, Burundi and some countries in Southern Africa.
 
Your country has ample rain. But worry not kenya is now moving away from rain fed agriculture... It's just a matter of time
 
Bado viongozi awaja kula rushwa kwenye mradi na pamoja na uendeshaji wa mradi sasa kweli deni litalipwa hapo! Baba mmeliwa just the matter of time tu, tuombe uzima tu
 
Your country has ample rain. But worry not kenya is now moving away from rain fed agriculture... It's just a matter of time
Acha kutoa sababu za kushindwa, hiyo chai mnayolima inatumia nini kama sio mvua?, kama mnaweza kuilisha dunia kwa chai, vipi mshindwe kulisha raia wenu 45M pekee?
 
Acha kutoa sababu za kushindwa, hiyo chai mnayolima inatumia nini kama sio mvua?, kama mnaweza kuilisha dunia kwa chai, vipi mshindwe kulisha raia wenu 45M pekee?
Nikaa haujasona mambo na kiangazi miaka miwili iliyopita. Lakini mnafaa kuuza mazao mpate hela. Opportunity iko sijui kwanini msitumie Wakati kama huu...
 
Nikaa haujasona mambo na kiangazi miaka miwili iliyopita. Lakini mnafaa kuuza mazao mpate hela. Opportunity iko sijui kwanini msitumie Wakati kama huu...
ur priorities r misguided
 
Umetumwa na IMF na World Bank wewe. IMF na WB ndiyo walioifikisha Africa hapa ilipo sasa kiuchumi na kisiasa, wacha mkoloni mwingine aje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…