Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 368 Dec 2, 2012 #1 Habari wadau,naomba mnijuze hili suala,askari polisi anapokuja kukukamata kwa kosa lolote kwa sheria zetu hapa Tanzania ni lazima awe na hii "warrant of arrest",na hii hati inatolewa na mamlaka gani. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habari wadau,naomba mnijuze hili suala,askari polisi anapokuja kukukamata kwa kosa lolote kwa sheria zetu hapa Tanzania ni lazima awe na hii "warrant of arrest",na hii hati inatolewa na mamlaka gani. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
F Frankness Member Joined Aug 24, 2011 Posts 66 Reaction score 13 Dec 2, 2012 #2 nisaidie kidogo, swali lako ni lipi tuweze kukujibu?