"Wars" fought by Tanzania

Pole
 
😂😂😂
 
Tanzania has natural gas with the price tag of more than 1.5 trillion USD Confirmed recoverable, once we finish the current deal negotiations of more than 30 billions USD ndio tutaanza kuongea kwa vituo. We will be giving you loans. Though you should be thankful for being our neighbour its something to thank God everyday.
 
Tanzania has always had more resources than KE, diamonds, arable land, Tanzanite, adequate rainfall , peace and unity.
Bigger population.
 
By the way TPDF haijawahi kwingia vita akiwa peke yake, lazima kuwe na Nchi zingine alafu unapata wakiimba ule wimbo wa "tulipigania Afrika". TPDF ni rag tag army hata saa hii h2h dhidi ya Uganda, watachapwa ka burukenge. Ikifika ni Rwanda inakuwa pyrric victory kwa jwtz.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
not invaded you say? The row with museven over an island in lake Victoria which has been taken by Uganda more than once isn't invasion? Well, that's not being friendly, that's cowardice
 
Unaona utukufu kujua Kiingereza bado ukoloni haujakutoka moyoni mwako.

Wewe kutokujua kingereza ni ujinga na uzembe kama ilivyo kawaida yenu, maana mnafundishwa shuleni tatizo mpo wazembe wa kutupwa.
 
Ingiza ng'ombe zenu tu kwa border uone paper tiger. Ingiza jeshi kama Ethiopia, Ug wanavyowaingilia kwa border na kisiwa chenu na kuwaua alafu uone paper tiger ako vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wameshindwa na vikundi vya wsislam tu huko modsdishu wanakufa ka nzige
 
Wewe kutokujua kingereza ni ujinga na uzembe kama ilivyo kawaida yenu, maana mnafundishwa shuleni tatizo mpo wazembe wa kutupwa.
Watoto ya malkia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Fight Al Shabaab first, if and only if you win the come here start a thread like this.
 
Wewe kutokujua kingereza ni ujinga na uzembe kama ilivyo kawaida yenu, maana mnafundishwa shuleni tatizo mpo wazembe wa kutupwa.
Sasa anayenifundisha naye ni Mtanzania. What if they doesn't know what they are teaching. Hivi ukipanda mango unategemea kuvuna mpunga?
 
Hehehe!! Umewaumbua balaa, japo lugha gongana, wengi hawataelewa hata umeandika nini.
Alshabab wanakongota Mara nyingi
Wamewateka wanajeshi wenu...hko somalia kuna KDF soldier P.O.W kibao...
Fanyeni muwarudishe

Ova
 
Tanzagiza nchi bure kabisa...wakifikia Ghana wani-tag.
 
Japo kua kesjhi letu unalizarau ewe mtoa mada but mbona hujatuambia wale Alshabab wanao wasumbueni,je wao wanandege vita ngapi? And how mechanized their infantry is?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…