Genital warts kwa wanaume ni ugonjwa ambapo kunakuwa na infection ya ngozi kuna kuwa na uvimbe kuzunguka uume,pumbu,au kwenye m..ndu, nk
Ni jamii ya magonjwa ya zinaa STDs ambayo huambukizwa na virus jamii ya Human papilloma virus(HPV) kwa njia ya kujamiiana na mtu mwenye ugonjwa huu.
Dalili
Dalili zake huchukua muda mrefu kuja kuonekana kuanzia miezi 3 au zaidi ni viuvimbe mara nyingi haviumi,vinaweza kuwa vinawasha,wengine wakijamiiana wanaweza toka damu hivyo ni vema mtu huyo akatibu kwanza apane ndiyo aanze kujamiiana.
Matibabu.
Podophilin cream unapakaa sehemu yenye infection,au unaweza kuvikata kwa wembe.