Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tiririka tukiona matango pori tutakwambiaWarumi walikuwa wanapenda starehee tu hawa jamaa, waliona kuchuchumaa shigiiida mno, halafu chanzo sasa cha ugunduzi huo ndio cha kidwaanzi nikiweka hapa hamna mtu ataamini (maana ni narative tu na wana JF wana hulka ya kutaka ushahidi wa picha)
[emoji23][emoji23]wakati huo waarabu walikuwa wanatita kwenye mchanga wa jangwani, na wabantu wakirusha tu makimba msituni kama kawaida yao.
Hata hivyo haja ndogo walijisaidia popote pale. Barabara zilinuka mikojo, nafuu ilikua kunyesha kwa mvua.wakati huo waarabu walikuwa wanatita kwenye mchanga wa jangwani, na wabantu wakirusha tu makimba msituni kama kawaida yao.
Kama kuna mtu humu amewahi kwenda Zanzibar kwa utalii, apitie pale kanisa la Anglican; kuna historia inayofanana na hi. Kwamba Watumwa wale walijisaidia halafu maji ya bahari yalikua yanakuja yanakipeleka kinyesi baharini; imagine wakati bahari imehama na watumwa wanataka kujisaidia, hilo harufu lilikuaje?Walipump maji ya kusafisha hivi vyoo na uchafu ulikwenda kwenye shimo.
kumbuka kwamba Waanglicana (hilo kanisa unalisema) sio Warumi. usichanganye mada. kanisa la anglican ni kanisa la Uingereza, Warumi ni Wataliano.Kama kuna mtu humu amewahi kwenda Zanzibar kwa utalii, apitie pale kanisa la Anglican; kuna historia inayofanana na hi. KWamba Watumwa wale walijisaidia halafu maji ya bahari yalikua yanakuja yanakipeleka kinyesi baharini; imagine wakati bahari imehama na watumwa wanataka kujisaidia, hilo harufu lilikuaje?
Mafundi na madalali wetu utasikia nyumba ya kisasa inauzwa. Njoo tukujengee nyumba ya kisasa. Cha kisasa nini mkubwa? Utaambiwa ina tiles vyooni.
Na wala hawakuwa na degree za civil engineeringMafundi na madalali wetu utasikia nyumba ya kisasa inauzwa. Njoo tukujengee nyumba ya kisasa. Cha kisasa nini mkubwa? Utaambiwa ina tiles vyooni.
Kumbe Warumi wa kale teyari walishakuwa na tiles vyooni.
😂😂🙌🙌wakati huo waarabu walikuwa wanatita kwenye mchanga wa jangwani, na wabantu wakirusha tu makimba msituni kama kawaida yao.
Warumi walitawala Uingereza, ninadhani Waingereza walitumia tekonelojia hii kujenga vyoo vya watumwa.kumbuka kwamba Waanglicana (hilo kanisa unalisema) sio Warumi. usichanganye mada. kanisa la anglican ni kanisa la Uingereza, Warumi ni Wataliano.
I know, nimeandika hivyo kulingana na style ya hicho choo kilivyo jengwa na jinsi nilivyo ambiwa na watu pale Zanzibar.kumbuka kwamba Waanglicana (hilo kanisa unalisema) sio Warumi. usichanganye mada. kanisa la anglican ni kanisa la Uingereza, Warumi ni Wataliano.