Hawa watu hata matambara ya kudekia hatoshi kuelezea upumbavu huu wanafanya na hizo poda zilizojaa kwenye vichwa vyao, maana matambara yanasaidia kufanya usafi vizuri na kuhakikisha sehemu inakuwa safi kuliko hawa wapuunzi ambao wapo hapo kwaajili ya kula matapishi na chochote wanachotupiwa!
Tunategemea hawa wakiona kitu cha kukemewa watafanya hivyo kwa nguvu zote kwa maslahi ya umma? Hii ni zaidi ya fedheha kwa waandishi wa habari ambao kweli wanafanya kazi zao kwa weledi.

Tasnia ya habari imebakwa sana kwa muongo huu mmoja.
Urahisi wa kuanzisha vyombo vya habari hasa radio na TV imeleta vyombo vingi vya habari kulikopelekea vyombo hivyo kutafuta "wapiga makelele" na kuwafanya wanahabari.
Ukitaka kujua unafiki watu kuwa na hela halafu uwe unatoa utapendwa na woteeeee, itokee mara paa CHADEMA inashika nchi hawa wote wanapiga U-turn mpaka utashangaa. Unafiki ni moja ya kipaji cha watu wengi kwenye taifa hili na yote ni sababu ya matumbo na wengi hawawezi survive nje ya harakati kama hizi.