Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Duuhmkuu achana nao....wana shida alafu majeuri maana hayo malalamiko yapo toka wanaanza ila hakuna mabadiliko yoyote kiufundi.
Nyimbo zote zilizo kwenye "Blog" yao zinapatikana kwenye Blog nyingine tena bure kabisa.
Kila kitu Ulaya utaliwa ndogo kwa kuiga Ulaya. FYI Ulaya/US nyimbo zinauzwa na kudownload bure ni kosa hapo ndo apple music, tidal, Spotify, Google music wanapopiga hela na wasanii. Iga Ulaya nunua wimboMia tatu kwa nyimbo ? Hivi ulaya nako nyimbo lazima uinunue ?
wajinga ndio waliwao.mie huwa na download bila ya kununua, huwa siingii website yao. hapa mjini maisha ni ujanja, sio ukiambiwa ununue na ww unanunua kweli.
Kumbe ukiiga ulaya unaliwa ndogo ckujua ndiyo unaniambia leo,kumbe ngoja niache hata kununua nyimbo kama ulaya nisijeliwa ndogo bureKila kitu Ulaya utaliwa ndogo kwa kuiga Ulaya. FYI Ulaya/US nyimbo zinauzwa na kudownload bure ni kosa hapo ndo apple music, tidal, Spotify, Google music wanapopiga hela na wasanii. Iga Ulaya nunua wimbo
Mia tatu kwa nyimbo ? Hivi ulaya nako nyimbo lazima uinunue ?
Japokuwa sijaipakuwa hiyo app, daah wanakera kinyama..wajirekebishe..haiwezekani uchukue muda mrefu kupakua wimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huu ushabiki maandazi.
Hatermkuu achana nao....wana shida alafu majeuri maana hayo malalamiko yapo toka wanaanza ila hakuna mabadiliko yoyote kiufundi.
Nyimbo zote zilizo kwenye "Blog" yao zinapatikana kwenye Blog nyingine tena bure kabisa.
Hater frm da next door,jamaa umekula kiapo cha kupinga kila kitu cha WCB,daily lazima uwapinge tu.mshamba flani hv frm mashenziniwajinga ndio waliwao.
Punguza jazba msukule wa Madale....mkiambiwa ukweli mnaita watu hater ebooooH
Hater frm da next door,jamaa umekula kiapo cha kupinga kila kitu cha WCB,daily lazima uwapinge tu.mshamba flani hv frm mashenzini
Achana nae huyo,njoo uone world tour ya "king wetu" alivyosepa na kijiji.Punguza jazba msukule wa Madale....mkiambiwa ukweli mnaita watu hater eboooo