eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
Hongera kwa wasafi tamasha lenu limefanikiwa sana alafu tuseme tu ukweli toka Tanzania (Tanganyika) ipate Uhuru ndo wanakuwa wasanii wa kwanza kujaza vile tena kwa kiingilio cha elfu kumi
Huo ndo ukweli ukiangalia hata picha zao ni vertical sio horizontal kama ilivyokuwa upande wa pili,natumaini wataalamu wa photo mmenielewa
Huo ndo ukweli ukiangalia hata picha zao ni vertical sio horizontal kama ilivyokuwa upande wa pili,natumaini wataalamu wa photo mmenielewa