Sawa ngoja TIMU Mavi wenzako waje kukuunga mkono.Hongera kwa wasafi tamasha lenu limefanikiwa sana alafu tuseme tu ukweli toka Tanzania Tanganyika ipate Uhuru ndo wanakuwa wasanii wa kwanza kujaza vile tena kwa kiingilio cha elfu kumi
Huo ndo ukweli ukiangalia hata picha zao ni vertical sio horizontal kama ilivyokuwa upande wa pili,natumaini wataalamu wa photo mmenielewaView attachment 945695
Sawa mkuu nisaidie kushare [emoji120][emoji4]
hahahaha wamakonde baada ya kumuibia Mond wakaona ngoja waende kuirudisha kwa kuijaza NangwandaNyomi mamammamamh! Vichwa kama maganda ya koroshow yaliy banguliwa.
Hongera zao
Kwanini na clouds wasijiunge hukoWasafi si watu wa mchezomchezo...
Naona Freemasons wote bongo, Jana walivamia Mtwara