Im stunned at what im seeing bruh...Hawa jamaa ni hatari utadhani ni Festival ya Miaka 4 hivi kumbe ndio kwanza wanaanza BIG UP kwao
Braza sijawah kuona unashusha ngeli namna hii hapa jamvini,au ni nguvu ya KVant ukizingatia masaa hayo ulokuwa unapost plus furahi day hahahahaOMG Chin Beezy is getting all the love down here...
I think he never expected this massive... LOVE
Alishaondokag kitambo EATV,then baadaye akawa E FM sijajua kama huko alikuwa for temporary au laHivi huyu Ommy Crazy DJ ni Freelancer au an Employee to IPP MEDIA...
!?
kwanini yuko huko now!? Namsikia mara nyingi EATV &RADIO
Kitu kipya hapo ni jina tu la Tamasha.Hawa jamaa ni hatari utadhani ni Festival ya Miaka 4 hivi kumbe ndio kwanza wanaanza BIG UP kwao