Wasafi festival Iringa kwa online

Tatizo ni UTIMU mavi ndio unaowasumbua,tukimsema Basha wenu mnaona tunamchukia,tumchukie for what? Kama ni kusema coz ana mafanikio hivi mbona watu hawamchukii AY,Prof J,Sugu? Hivi Domo ana fedha kuliko Sugu? Mkishanunuliwa ITEL/TECNO na kuwekewa BANDO na DOmo nyie mnachojua ni KUPAYUKA tu....Mie sina timu namchana yeyote si DOMO si KIBAKULI.
 
Haya maandalizi ya Wasafi Festival Kenya,aliyepewa kapewa,najua watu roho inauma jamaa kusifiwa lkn katika maisha ya mwanadamu inafikia kipindi,hata kama watu hawato kusifia na kukupongeza basi mawe yatakusifu na kukupongeza,sometimes huwezi zuia sababu ni wakati wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…