Wasafi festival mmeboa

Wasafi festival mmeboa

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Wote hatuna uwezo wa kwenda Mtwara, tuliokuwa tunatazama kwenye TV, mmezima mmetuboa kweli au mitambo mibovu? J Melody katisha, ilipokuja zamu ya Zuchu, mambo yakaharibika
 
Basi watulipe na vipindi vingine vya huku studio kama hawataki live yao maana tmelipia tuone hiyo chanel kama ingekuwa umelipia lets say DSTV ili uone mechi ya Man U na Arsenal, matangazo yakakatwa, ungejisikiaje?
Jamaa analalamika utafikiri yupo eneo la tukio.

Naamini hakuna makubaliano yoyote ya 'show' kuonyeshwa mubashara. Hivyo wana haki ya kuondoa mubashara hiyo mda wowote.
 
Basi watulipe na vipindi vingine vya huku studio kama hawataki live yao maana tmelipia tuone hiyo chanel kama ingekuwa umelipia lets say DSTV ili uone mechi ya Man U na Arsenal, matangazo yakakatwa, ungejisikiaje?
Hahahaaa....
 
Back
Top Bottom