Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Habari ndugu na wadau mbalimbali wapenda burudani,
Ebu tueleweshane maana mambo yanaenda tofauti kwa msanii Nasibu na Basata.
Basata wametoa tamko la kutofanyika kwa tamasha la Wasafi Festival ndani na nje ya nchi.
Vipi tena hilo tamasha kufanyika nchini Kenya tarehe 26 desemba?
Maana uko atakuepo Morgan Heritage lile kundi la Jamaica la reggae walioshinda Tuzo za Grammy.
Mbona kuna sintofahamu hapa?