Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Muvi ganiAcha muvi iendelee
Kama Diamnond akifanya tamasha lolote inabidi awekwe ndani huyo mtu kwa kudharau amri halali ya serikali(BASATA).Habari ndugu na wadau mbalimbali wapenda burudani,
Ebu tueleweshane maana mambo yanaenda tofauti kwa msanii Nasibu na Basata.
Basata wametoa tamko la kutofanyika kwa tamasha la Wasafi Festival ndani na nje ya nchi.
Vipi tena hilo tamasha kufanyika nchini Kenya tarehe 26 desemba?
Maana uko atakuepo Morgan Heritage lile kundi la Jamaica la reggae walioshinda Tuzo za Grammy.
Mbona kuna sintofahamu hapa?
Nyimbo ya nyegezi ilipigwa marufuku within our country lakini nchi za jirani kama kawa, na kama walimzuia aisifanye matamasha basi ni ya ndani hayo ya nje ya nchi watajibeba
Karma is an ugly bitchTanzania full kukomoana wangemfungia ndani tu wakamwacha akafanye huko maana kama serikali ya Kenya haijaona tatizo sisi kwanini tuone tatizo. Yani sisi full mitima nyongo sasa wanadhani wanamkomoa jamaa dah kuishi tanzania sometimes yataka moyo. Lakini na yeye ngoja aonje joto la jiwe maana wenzake walivyonyimwa uwanja alichekelea sana wazi wazi mwisho wa siku Mungu ni wetu sote
Basata inamamlaka nchini tuHabari ndugu na wadau mbalimbali wapenda burudani,
Ebu tueleweshane maana mambo yanaenda tofauti kwa msanii Nasibu na Basata.
Basata wametoa tamko la kutofanyika kwa tamasha la Wasafi Festival ndani na nje ya nchi.
Vipi tena hilo tamasha kufanyika nchini Kenya tarehe 26 desemba?
Maana uko atakuepo Morgan Heritage lile kundi la Jamaica la reggae walioshinda Tuzo za Grammy.
Mbona kuna sintofahamu hapa?
Atalipia yy mwenyewe aliyechukua advance...Diamond keshakula advance ya watu (viingilio) na ratiba ilishakuwepo kabla ya basata kumfungia...sasa asipoenda kufanya show hiyo hela BASATA watawalipa wao mashabiki? na gharama nyengine za maandlizi je?