Wasafi festivo, mjumuisheni Lady jay dee kwenye tamasha kuu la taifa

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Mama wa burudani hapa nchini anajulikana ni komando binti machozi jide lady jay deeeeee hili halina ubishi

Kwa sasa mpaka sisi timu kiba tunajua na tunaunga mkono mapinduzi ya burudani, tamasha la taifa kwa sasa ni wasafi festivo hivyo linahitaji kuwa na wasanii nguli wote wa taifa hili

List ya wasafi imemkosa komando wa taifa lady jay dee, wote tunajua huyu binti kabaniwa sana na redio ya wafuu lakini kasimama kivyake na kutoboa kimpango wake na mashabiki wake tupo tunaongezeka zaidi hata ya kipindi hiko

Enyi wasafi, njia ya kuwaua clouds pia ni kumchukua lady jay dee, tunamuomba sana kwenye mapinduzi ya burudani kwani yeye na harakati hizi kazianza kitambo na anaelewa sana jinsi game inavyochezwa
 
Mkuuu upo dunia gani haulewi huu ni mchezo unachezewa akili kibiashara.Mwenye CLOUDS Joseph kusaga ndo Mmiliki wa WASAFI.Na Lady jaydee aliwahi kusema KUSAGA ana roho mbaya kuliko RUGE alisema yeye na ruge hawana tofauti tatizo ni kusaga tu.Hivi hujiulizi kwa nini tangia wasafi ifunguliwe haijawahi kucheza nyimbo ya LADY JAYDEE TAFAKARI CHUKUA HATUWA
 
Nyie washamba mliovamia mjini na malori ya nyanya ndio mnatupigia kelele kuhusu hiyo wasafi na clouds ..

Hivi nyie watanganyika lini vichwa vyenu mtaanza kuvipa kazi ya kufikiri na sio kufugia nywele tu??? Hivi hujui Wasafi Media na Clouds media wote ni ndugu na zinamilikiwa na KUSAGA.

Kama MTU anashindwa kujua hili , hii nchi ccm itatawala miaka 10000 ijayo
 
Punguani wa head wewe
Uko nje ya mada
 
Lady JayDee ni Team Kiba hata yeye mwenyewe ashawahi kutamka hivyo. In short Jide hamzimiki Diamond Platnumz na swagger zake.
 
Na pia usisahau mwenye clouds ndo baba wa teefah na nilan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuuu upo dunia gani haulewi huu ni mchezo unachezewa akili kibiashara.Mwenye CLOUDS Joseph kusaga ndo Mmiliki wa WASAFI.Na Lady jaydee aliwahi kusema KUSAGA ana roho mbaya kuliko RUGE alisema yeye na ruge hawana tofauti tatizo ni kusaga tu.Hivi hujiulizi kwa nini tangia wasafi ifunguliwe haijawahi kucheza nyimbo ya LADY JAYDEE TAFAKARI CHUKUA HATUWA

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Mkuuu upo dunia gani haulewi huu ni mchezo unachezewa akili kibiashara.Mwenye CLOUDS Joseph kusaga ndo Mmiliki wa WASAFI.Na Lady jaydee aliwahi kusema KUSAGA ana roho mbaya kuliko RUGE alisema yeye na ruge hawana tofauti tatizo ni kusaga tu.Hivi hujiulizi kwa nini tangia wasafi ifunguliwe haijawahi kucheza nyimbo ya LADY JAYDEE TAFAKARI CHUKUA HATUWA
Nyimbo mbona zinachezwa sana
 
Unapata muda wapi wa kuwa unaangalia nyimbo zote zinazochezwa wasafi tv/ radio?
Au wewe ni mhariri wa vipindi?
 
Mkuuu upo dunia gani haulewi huu ni mchezo unachezewa akili kibiashara.Mwenye CLOUDS Joseph kusaga ndo Mmiliki wa WASAFI.Na Lady jaydee aliwahi kusema KUSAGA ana roho mbaya kuliko RUGE alisema yeye na ruge hawana tofauti tatizo ni kusaga tu.Hivi hujiulizi kwa nini tangia wasafi ifunguliwe haijawahi kucheza nyimbo ya LADY JAYDEE TAFAKARI CHUKUA HATUWA
Hakika
 
Wasafi festival kwani IPO chini ya Wasafi TV au WCB.
 
Back
Top Bottom