Kwa kweli huduma liyopewa ni mbovu . Ismail mrisho aendelee kupumzika kwa amaniMchezaji wa mbao alikufa kama hivi
Washazoea bongo huponi ikitokea
Familia nzima imejaa wahuni wahuni aka wauni wauni tu.Kiherehere ili waonekane wao ni wa kwanza kutoa taarifa .
Sijui wanawatoaga wapi hawa watangazaj wasiojua miiko ya utangazaji ,yaan wasaf Naona wamejaa wahuni wahuni tu kuanzia diva ,baba levo ,juma lokole,kitenge na wengine .
Huyo mtangazaj anapaswa kuachishwa kazi ni mpuuz no moja kufurahia mtu kufa haiwezekan utoe taarifa ambayo huna uhakika nayo
Kiherehere ili waonekane wao ni wa kwanza kutoa taarifa .

Alitakiwa kusubiri taarifa ya daktari tena toka kwenye sources za kuaminika kama UEFA wenyewe sio taarifa za kuokota mitandaoni tuInashanganza hata dk 20 haijapita kashatangaza kifo ,hi ndo kiherehere cha kutaka kuonekana wa kwanza kutoa habari
Naungana mkono hojaHii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke?
Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.