Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Ooh sikujua asante kwa ufafanuzKwasasa sports arena walikuwa likizo ila next week ndo wanarudi upya
Genta bas anatisha yaan jamaa kula ban kwake n kitu kidogo snaGENTAMYCINE kapigwa rungu na Admns wa Jamii Forum,kama lile Rungu alilopigwa nalo Ndugai na Samia
Shukran kwa taarifaKuanzia wiki ijayo ratiba zitarudi kama zamani
GENTAMYCINE kapigwa rungu na Admns wa Jamii Forum,kama lile Rungu alilopigwa nalo Ndugai na Samia
Sema kajipanga, ana A/C nyingi.Genta bas anatisha yaan jamaa kula ban kwake n kitu kidogo sna
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
I'm not part and parcel of Wasafi Media so I can't comment anything of your Concern. Thank You though....!!Leo nilikuwa nasikiliza kipind Cha michezo Cha asubuh kutoka wasafi fm
Nimeshangaa utaratibu Kama umebadilka hivi mwendesha kipind anawapigia simu wachambuzi wanaelezea kifup Sana baada ya hapo mziki matangazo ikipita robo saa mwendesha kipind anaongea kifup Sana matangazo mziki kwenda mbele
Sasa sijajua huu ndio utaratibu wao mpya au Kama n mpya bas jamaa wamefeli pakubwa Bora turudi kwa shemeji majizo walau kidogo japo nao wananikera matangazo tu mengi Zaid kushinda muda wa kipindi
Wakuu GENTAMYCINE NAWATAFUNA Scars na wengineo hebu nitoen tongotongo je huu ndio utaratibu endelevu pale usafini
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Halafu kuna fununu kuwa kuna mtangazaji wao mmoja amekwenda Efm!!toka hapo naona kama kwa sasa hakina mvuto, naona kama Efm, na aboud fm, wako vizuri.Leo nilikuwa nasikiliza kipind Cha michezo Cha asubuh kutoka wasafi fm
Nimeshangaa utaratibu Kama umebadilka hivi mwendesha kipind anawapigia simu wachambuzi wanaelezea kifup Sana baada ya hapo mziki matangazo ikipita robo saa mwendesha kipind anaongea kifup Sana matangazo mziki kwenda mbele
Sasa sijajua huu ndio utaratibu wao mpya au Kama n mpya bas jamaa wamefeli pakubwa Bora turudi kwa shemeji majizo walau kidogo japo nao wananikera matangazo tu mengi Zaid kushinda muda wa kipindi
Wakuu GENTAMYCINE NAWATAFUNA Scars na wengineo hebu nitoen tongotongo je huu ndio utaratibu endelevu pale usafini
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mwanaume hawezi kuishi kwa fununuHalafu kuna fununu kuwa kuna mtangazaji wao mmoja amekwenda Efm!!toka hapo naona kama kwa sasa hakina mvuto, naona kama Efm, na aboud fm, wako vizuri.