Nimewasikia Wasafi fm leo asubui kupitia kwa mtangazaji wake anaijiita jina baya la Beberu, Zembwela alitoa mfano kuwa kifo hata cha jambazi ni lazima tuuzunike kwani na yeye ana mchango fulani katika jamii
Zembwela alikwenda mbali zaidi na kutoa mfano kuwa, kuna jambazi ambaye aliiba banki na akaenda kufanya uwekezaji kijijini kwao kama ujenzi wa shule, hospitali na ununuzi wa magali na kuajiri watu wengi hivyo kifo chake lazima tuuzunike.
Nimeshindwa kuelewa kuwa Beberu Zembwela alikosa kabisa mfano mwingine kwa watani na washindani wake hata kuwanin'giniza na kuwafananisha na majambazi.
===

Mkuu manafyale, nasikitika kukuarifu kuwa hujasikiliza au kuelewa vyema. Hicho kilikuwa ni kipindi cha Good morning kwenye segment ya Kurasa za Magazeti inayoongozwa na Kitenge na Zembwela( Chumvi na Ndimu). Walikuwa wakizungumzia kuguswa na kuhusika kwao na jambo hilo na hata kufananisha na msiba kwa jirani yako. Ndipo hapo Zembwela alitoa mfano wa kifo cha jambazi ambacho pia jirani lazima ahusike. Hakika, kwenye habari hiyo ya kufungiwa kwa Clouds, watangazaji hawakutia maneno yoyote kama ilivyo kawaida yao kwa habari nyinginezo.