Wasafi FM mmetia aibu leo katika kipindi cha Jana na Leo

Se

ALIKUWA ANASOMEA LUGHA?lugha ya watu hyo tusichekane
Kwa fani aliyochagua ilipaswa aijue hiyo lugha ya watu.

Na hata kama hakusomea lugha, alisomeshwa alichosomea kwa lugha hiyo hiyo hivyo kuweka shaka juu hasa ya kiasi gani alielewa alichofundishwa.
 
Hao manabii wenyewe nao mbona Viingereza vyao vya manati vilevile?

"We are notiii ugly".

Kiingereza cha Kiafrika hiki.

Not inakuwa notiiii 🤣🤣🤣
 
Mi nakupinga kwasababu Engl sio lazma kujua Tatizo nyie wabongo hamko proud na lugha yenu

na mtu akishindwa kuongea lugha ya pili kwa ufasaha ni sawa sio ajabu

kwa sis wapenda mpira tunaona wachezaji hasa kutoka Latin America hawajui kabsa Kun aguero amekaa Uk kalibia miaka 8 lkn haja weza

lionel messi sikumbuki lin amehojiwa akaongea kingleza

Enzo Fernandez kwenye utambulisho anavo jiunga chelsea Walimtafutia mkaliman ,na sijawah ona wakichekwa kua hawajui Engl

kuna watu wanafanya kaz marekan na hawajui Kingl kwaio ni wew kua na mtazamo Hasi
 
Kwa fani aliyochagua ilipaswa aijue hiyo lugha ya watu.

Na hata kama hakusomea lugha, alisomeshwa alichosomea kwa lugha hiyo hiyo hivyo kuweka shaka juu hasa ya kiasi gani alielewa alichofundishwa.
Uongo
 
Leo nilisikiliza kipindi cha Nuru FM alikuwa anahoji tatizo la ukahaba Tanga enjeol a Sabasaba kwa Minchi.Kilichonisitikisha nikuwa hata mtangazaji hana taarifa ni nani mmiliki. Mtangazaji na waliohojiwa wote wanasema mmiliki ni Serikall wakati mmiliki ni CCM. Tunapotoshwa mara ngapi kwa makanjanja wa habari kama p?
 
 
Kikubwa wameelewana mengine mbwembwe tu.

Hata hao waliokuwa wakihojiwa ni wale wale kama kina Oscar tu. Wote ze ze. Imekuwa vyema wamekutana pipa na mfuniko maana wangekutana na design za kina Vanessa Mdee hao wageni wangeaibika.
 
Sawa
 
tuache ujuaji oscar oscar na edo wanajua kiingereza vizuri kabisa. adela baba levo na kitenge ndio kiingereza kinawapa shida.l
Oscar oscar nilishafanya nae project moja ukiondoa ule utani wake na ulevi yule mwamba ana akili nyingi sana ana uwezo ambao si wa kawaida, yai anatema kuliko unavyofikiri.

Edo kumwembe umemsingizia tu yule mwamba ana mishe nyingi sana anafanya nje ya nchi na anakutana sana na hao wenye lugha yao

Edo sio mwandishi wa kumfananisha na waandishi wengine yule mwamba sio mchezo kabisa ni miongoni mwa wanahabari wakongwe na yupo tangu enzi za waandishoi wasomi yeye hajaibuliwa na wasaf au hizi FM radio zinazochukua na kuajiri machawa bila elimu
 
Mbona hicho walichoongea kinatosha tu.....Kuna lugha tunaongeaga na wachina kwa kwel ni kimbembe mwisho wa siku tunaaply ishara bas
 
Kaongea vizuri Oscar Kwa level yake then kujua kiingereza huwa inachukua miaka 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…