koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 981
- 1,606
Kwema wakurungwa? Weekend ndo hii mambo yawe mengi kidogo.
Nizame kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Nataka niwaulize wasafi FM huu utaratibu wa kucheza matangazo katikati ya mazungumzo mmeutoa wapi? Yaani unakuta mtangazaji anaongea au labda mgeni kaletwa kwenye kipindi kwa mahojiano, akiwa anazungumza ghafla unasikia ile jingle yao ya wasafi. Ndo nini hiki?
Bora hiyo, unakuta msikilizaji kapiga simu yuko hewani ghafla m-jingle wao unachezwa na matangazo kibao, eti anaambiwa "endelea kubaki kwenye line usikate simu". Kweli mko serious? Mimi sina elimu yoyote ya uandishi wa habari au jinsi ya ku-run radio stations lakini hili jambo ni geni kwangu na kwa walio wengi wetu.
Sasa niwaulize mmeutoa wapi huu utaratibu?
Asanteni.