Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana.
Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya mjini. Na hata barabara zinazojengwa mjini ndani ya miezi 6 barabara zinakuwa zimeharibika.
Je tatizo ni TANROADS?
je tatizo ni hatuna competent engineers who are skilled, qualified and capable in their field ?
Je tatizo ni Accountability ya supervision and monitoring ?
je tatizo ni Rais / Waziri kushindwa kusimamia subordinates wake na kuwawajibisha....?
Au tatizo ni mfumo wa RUSHWA ulioota mizizi ?
Rais na watu wako, hamuonagi aibu mkienda nchi za wenzenu hasa miundombinu ya mjini na barabara?