Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah hamna kitu pale, shida inakuja kila mtu pale anataka kujikutta mkubwa, hataki kuwa Co host, kama Calipso kapitaMashabiki wa dablisibii wanakuambia hiyo ndo hottest entertainment show for the meantime
Fungua yako.mondi kafungua yake ndo hyo.nawee fungua yako utangaze kwa style yako
Jamàa wanaboa kweli na mamisemo yao sasa mara bango limewaka mara mwamba kachill yaan hata hawaeleweki wanaongea kihuni sana ila nadhani kwa vijana wenzao wanaelewana sana.,.
Kilimo cha mahindi kinaendeleaje boss?
dodge
Linasafishwa shamba wik hii ijayo napanda
hao vijana wanaoziangalia wanatoa wapi pesa za kununua MB ili wastream online..? maana mikoani haifikiHizo shoo za dizaini hio hua ni special kwa ajili ya vijana wanaobalehe/vijana waliomaliza form 4/bodaboda na watu kama hao.
dodge
Pale angebaki JONIJO na CALIPSO basi, wengine watafute kazi zingine hata kwenye TV hukoWangemuacha jonijo peke yake mbona anaweza tu kuhost
Tatizo wametaka mfanano na xxl shida ndio hiyo ila wangemuacha jonijo kingebamba sana
Studio kali sana ubunifu 0%