mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Promotion za bundle zilivyo nyingi hivi watakosaje jero inayowapa mb 500 boss?hao vijana wanaoziangalia wanatoa wapi pesa za kununua MB ili wastream online..? maana mikoani haifiki
dodge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Promotion za bundle zilivyo nyingi hivi watakosaje jero inayowapa mb 500 boss?hao vijana wanaoziangalia wanatoa wapi pesa za kununua MB ili wastream online..? maana mikoani haifiki
Tigana Rukinja redio gani hiyoSijui ni umri au majukumu mbina na pitwa na vitu kama hivi.
Niwe mkweli tu Mimi huwa naskiza redio asubuhi tu pb ya kina kipanya. Wakishaperuuz n kudadiiiiz na zima na redio michezo huwa naskiza SAA 2 usiku tena in habari hapa nyumbani tu na mchambuzi wangu mkubwa akiwa ni Tigana Rukinja
Team kiba tumekusikiaHawa jamaa wa Block 89 ya Wasafi wanaongeaga vitu vingi sana hawavijui! Too much lies! Story za Kobe (wao wanamuita Kobe na sio Kobi) zimepotoshwa sana kuhusu basketball. most of them are overrated
Who's the Program Manager?
Team kiba tumekusikiahahah hamna kitu pale, shida inakuja kila mtu pale anataka kujikutta mkubwa, hataki kuwa Co host, kama Calipso kapita
Kiss Fm, Lake FM, Times FM, Clasic FM lakini naona kama tabia za wale watoto zimemkolea
Team kiba tumekusikiakabisa, PM wao ajitahidi abadirishe mpangilio wa kipindi
Team kiba mna shida sanaKiukweli hicho kipindi ndo nakiskia Leo nilikuwa sijui...
Kweli napitwa na mengi
Team kiba mtapata shida sanaJamàa wanaboa kweli na mamisemo yao sasa mara bango limewaka mara mwamba kachill yaan hata hawaeleweki wanaongea kihuni sana ila nadhani kwa vijana wenzao wanaelewana sana.,.
Ila ile Ni radio ,inaonekana chuki tu zinawasumbuaHasa yule mtu imara anakosea sana timing ya kuingiza ujinga wake shoo iko local sana tayari wasafi tv imeshakua yakawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Team kiba mna shida sanaMwanaume unakaa kitako kabisa unaangalia/kusikiliza wasafi??
Team kiba ndio nani? Au kitu gani hicho?
Mimi team tamaduni music ya wanaume......wewe na team zenu na dada zenu za wcb na Aisha mashauzi hamna tofauti na wanaogawa Ndogo zenji
Kila siku mwanandamu ni mwanafunzi hadi siku atakapopata pumziko la milele!!Kiukweli hicho kipindi ndo nakiskia Leo nilikuwa sijui...
Kweli napitwa na mengi