sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kwenye siku ya Iddi.
Lavalava atakuwa kigoma.
Mbosso atakuwa Tanga.
Rayvanny atakuwa Dar Live.
Harmonize atakuwa Nangwanda Mtwara.
Diamond atakuwa Kahama na Geita.
Zote ni show kubwa sio za mchangani.
Ama kwa hakika Wasafi ni level kubwa wengine wanasubiri.
Lavalava atakuwa kigoma.
Mbosso atakuwa Tanga.
Rayvanny atakuwa Dar Live.
Harmonize atakuwa Nangwanda Mtwara.
Diamond atakuwa Kahama na Geita.
Zote ni show kubwa sio za mchangani.
Ama kwa hakika Wasafi ni level kubwa wengine wanasubiri.