sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
acha chuki upate bwnWrite your reply...Nilidhani watakuwa msikitini wanaswali. Sasa wanajisumbua nini kufunga kula mwezi mzima wakati siku ya eid watakuwa wanakata mauno. Si wapige msosi tu.
WCB kwisha kazi Baba Tiffa ndo wakupiga show ya Idd kahama? nilitegemea Idd hii angekuwa mamtoni, kweli Shonza sio wakubishana nae.Kwenye siku ya Iddi.
Lavalava atakuwa kigoma.
Mbosso atakuwa Tanga.
Rayvanny atakuwa Dar Live.
Harmonize atakuwa Nangwanda Mtwara.
Diamond atakuwa Kahama na Geita.
Zote ni show kubwa sio za mchangani.
Ama kwa hakika Wasafi ni level kubwa wengine wanasubiri.
Duuuh!Write your reply...Nilidhani watakuwa msikitini wanaswali. Sasa wanajisumbua nini kufunga kula mwezi mzima wakati siku ya eid watakuwa wanakata mauno. Si wapige msosi tu.
Shonza anakula kuku Na mayai co wa mchezo mchezoWCB kwisha kazi Baba Tiffa ndo wakupiga show ya Idd kahama? nilitegemea Idd hii angekuwa mamtoni, kweli Shonza sio wakubishana nae.
Duh........tema mate nimchape[emoji23][emoji23][emoji23]kahama na geita hahahahaa kijana kwisha habari yake mxiiiieeeewwww
Naimani shughuli umeiona.WCB kwisha kazi Baba Tiffa ndo wakupiga show ya Idd kahama? nilitegemea Idd hii angekuwa mamtoni, kweli Shonza sio wakubishana nae.
Naimani shughuli umeiona.WCB kwisha kazi Baba Tiffa ndo wakupiga show ya Idd kahama? nilitegemea Idd hii angekuwa mamtoni, kweli Shonza sio wakubishana nae.
Naona baada ya Team Kiba na TeamSamata kubamba leo,mapigo yanajibiwa siku ya Eid? Hongereni sana,muanzilishi wa hizi team namheshim sana