Kiingilio buku 5 tu Mzee unashindwajelakini naona fiesta wanajaza sana kila mikoa
kufanya bothkwani umeenda kupuliza mineli au kuangalia show?
We jiulize kwanini wameshusha kiasi cha pesa ili kuangalia matamasha yao hasa mikoani?hio ni strategy ya kuendelea kujaza maana Hali ni mbaya upande wao.lakini naona fiesta wanajaza sana kila mikoa