Wasafi Media bado mna kazi kubwa kufikia matarajio ya watanzania

Huyu mwenye jina ana 40pc wenye Clouds wana 51
Mwisho wa mwaka faida kubwa kwa Clouds
Hapa ndio mwisho wa habari mengineyo ni mitazamo na mapenzi ya wasikilizaji na watazamaji kila mmoja kunogesha upande wake huku ukweli ukiwa wazi bila huyu huyu asingekuwepo
 
Wengi watakupinga kwa sababu umewaambia kitu ambacho hawapendi kukisikia. Ukweli ni kwamba almost radio zote zinacopy hadi flow na muda wa vipindi kutoka clouds. Sasa hivi unaweza kusema b12 ndio mtangazaji wa vipindi vyote vya mchana. Kwa kifupi wamemkopi hadi wa kina jonijo.
 
Jonijoo ni mtangazaji wa level zingine huoni ukubwa wake kwa kuwa media zote alizopitia ni Radio zisizo na coverage kubwa, nakupa mfano Kennedy wakati yuko E.A radio pamoja na ukubwa wake hakuwa anajulikana kama mtangazaji mkali alikuwa akifanya show moja na George Bantu.
.
Watu wa kulinganishwa na jonijoo
1.
Kennedy the remmedy
2. Dulla planet
3. Real Ommy
Nimewataja hawa tu kutokana na namna wanavyohoji maswali kiubunifu na hawaulizi tu maswali ili mradi jambo liko kwenyr trend la hasha wanachimba hivi ndivyo Jonijoo alivyo.
Calypso ndio hata sioni wa kumlinganisha nae huyu ni mtangazaji wa kutangaza Radio za New york huko, Aaliyah huyu ni icon nyingine baada ya miaka mitatu ijayo utakuja kuniambia.
.
Umesema wasafi platform ndio inawabeba true, kwa sababu kwanza bado hawajaanza kujitangaza au kutumia nguvu kubwa wasikilizwe, unakumbuka wakati E-media inaanzishwa na Majizo namna nguvu kubwa ilivyotumika hadi DSM nzima ikawa ni E-FM tu?
.
Wakati E-FM inaanza wese tumepata sana kwa kuwa tu na sticker zao, watu wamepata fedha sana kwa kuwasikiliza tu, hayo Wasafi media hata hawajayafanya kwanza bado hawana vipindi vingi wala watangazaji wakutosha kama vyombo vikubwa.
.
Umeuliza kama kuna show ya kuizidi XXL kimpangilio ndio ipo nayo ni Planet Bongo yani pale ni kwa kuwa tu sijui hawapewi fungu la kutosha ila ni wakali sanaaa.
.
La mwisho hilo mimi silijui
 
Jonijoo umeanza kumjua lini mkuu? Na kipindi gani Wasafi wamekiiga kutoka Clouds mchana maana sasa hivi wanagonga madude tu vipindi wanavyo viwili The story book cha Mtiga Abdala bonge moja la pindi saa 12 pamoja na Block 89
.
Kwanini usiseme hata E.A radio maana hawa usiku wana The cruise bonge moja la pindi
 
Mkuu umeeleweka..

Mimi nimesema huyo jonijoo sio mtangazaji mbaya,ila huwezi kumlinganisha na Dulla Planet au Kenedy,hawa ni watangazaji complete..pia ili uwe mtangazaji mzuri inabidi uwe unasoma habari vizuri(sio habari kama habari) yaani mfano tangazo n.k.,pia lafudhi..na ndo maana clouds wakamchukua..jonijoo lack that,though na appreciate anachokifanya..
 
Kweli mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…