Mwanamapinduzi wa tano
Member
- Jan 23, 2020
- 6
- 12
Mkuu naomba unitajie majina mawili tu ya watu washuuri .nimekua nikifuatilia sana wasafi tv chanel na radio pia nimeona ni jinsi gani hamjajipanga na mnafanya kazi kwa mazoea. naamini hata wafanya kazi wenu wengi hawana taaluma ya utangazani wala uandaaji wa vipindi. watangazani wenu wamekua na porojo nyingi na kutokua na taharifa sahihi . mafano kukosea hata majina na taaharifa za watu washuuri, achilia mbali ubunifu na ukosefu wa maudhui.