Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam wanajukwaa, kwa maoni yangu lakini (naomba niwe tayari kurekebishwa na wanaoitwa wajuaji)
Naona kabisa WASAFI FM/TV ni YANGA na CROWN FM/TV ni SIMBA.
Swali 1; Je, ni permanent marketing strategy za wamiliki ili kupata views na listeners wengi zaidi?
Swali 2; Je, ni timing tu na vitu vimekuja automatically?
Swali 3; Je, wenyewe au watu wao wa karibu wanalijua hili na wameliona kwa jicho la kibiashara? Au mpaka mmoja kati yao ambaye msaidizi wake anasoma uzi huu sasahv amsanue boss wake kwamba tukiweka mipango mizuri kwa fan base ya simba ya yanga nchi nzima tutapata milage kubwa sana pamoja na contents kwenye media House zetu.
Karibuni sana Jamiiforum (Home of Great thinkers)