cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Sababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashito
kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa hali bado huwezi kununua music from this site,
Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss
Ila Hongera sana kwa uthubutu
Yah huyu dogo kichwa hana uoga wa kujaribu ila kwa hapa inakua ngumu sana kumsupportI total agree, why the rush? kwa mteja kuwa dissapointed na kurudi tena kwenye website sio rahisi, ila mara ya kwanza akitembelea na kuikuta ipo poa inakuwa vyema sana!
Kwamba site huwa inakuwa down au... Maana watu wengi wananunua bila sheedaSababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashiko
kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa bado huwezi kununua music from this site,
Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss
Ila Hongera sana kwa uthubutu
View attachment 480234
Kwa 1800 nimepata track 6 fasta fasta na naendeleaWengine mbona wanasema wananunua kiurahisi!
Ila binafsi nimeingia nikashindwa!
Labda angeifanyia promo na kuweka vitutorial vidogo vya matangazo nafikiri ingekuwa njema sana!
Napenda sana niwaunge mkono ila naona inafika mahali ina delay ata sijui tatizo niniKwa 1800 nimepata track 6 fasta fasta na naendelea
Wengine mbona wanasema wananunua kiurahisi!
Ila binafsi nimeingia nikashindwa!
Labda angeifanyia promo na kuweka vitutorial vidogo vya matangazo nafikiri ingekuwa njema sana!
Wengine mbona wanasema wananunua kiurahisi!
Ila binafsi nimeingia nikashindwa!
Labda angeifanyia promo na kuweka vitutorial vidogo vya matangazo nafikiri ingekuwa njema sana!
watu wengine wapKwamba site huwa inakuwa down au... Maana watu wengi wananunua bila sheeda
uatumia njia ganiKwa 1800 nimepata track 6 fasta fasta na naendelea
hapoa kaka itakua unaisikia nyimbo after download so jimbo baya zuri yote utakua unalipiaMimi mwenyewe nimejaribu sana jana kununua ila nikienda menu ya airtel money inazingua namna ya kununua, angeifanya iwe rahisi zaidi ili wengi tumuunge mkono. Ni idea nzuri na kama watanzania tutaonesha ushirikiano basi kwa mara ya kwanza wasanii wataanza kula jasho lao, ukitoa lijimbo li baya hatudownload ukitoa nyimbo nzuri unakua milionea.
mambo.yakawaida tu haya chukulia watu laki 9 kila mmoja anataka kudownlod ndo mana mtandao unasumbuaSababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashiko
kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa bado huwezi kununua music from this site,
Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss
Ila Hongera sana kwa uthubutu
View attachment 480234
mambo.yakawaida tu haya chukulia watu laki 9 kila mmoja anataka kudownlod ndo mana mtandao unasumbua
wewe kwani hii issue Tanzania ndio tumeanzisha,Mbona USA watu wanadownload millions in a minute,ajipange tu ila there is no excuse kiivyomambo.yakawaida tu haya chukulia watu laki 9 kila mmoja anataka kudownlod ndo mana mtandao unasumbua
najua sio wewe u must be cute kuliko avatar yako auHaaah si kwa kunishushua uko..
Ni mimi apa!najua sio wewe u must be cute kuliko avatar yako au