cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
- Thread starter
-
- #21
unajitahidi kiasi chako dimpoz hizo ANi mimi apa!
weka avatar ambayo uko asilia bila makolombwezoNi mimi apa!
SureSiku bloggers wote wakiamua kulink downloads from mkito na kwa wasafi.com basi wasanii watakuwa matajiri sana ushajiuliza hiyo? free downloads zinawarudisha nyuma sana wasanii wakitanzania
Hivi hujawah buy umeme ukaambia system ipo down..mbona hujakimbia kuja kusema huku TANESCO wajipange. .wacha wivu bwanAa izo shida za mtandao zipo daily..hata kulipia umeme..kulipia road licence na kila kitiSababu Alizo toa Boss wa WCB kuhusu ugumu wa kudownload music kutoka kwenye website yao haina mashiko
kwani ilitakiwa wafanye pre testing kwanza kabla ya kuingia sokoni.Mpaka hivi sasa bado huwezi kununua music from this site,
Kibiashara ni kitu kibaya sana Boss
Ila Hongera sana kwa uthubutu
View attachment 480234