BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Kama wengi wenu mnavyojua kuwa Fiesta ili ahilishwa na kusababisha hasara kubwa kwa wasanii wengi nikiwepo mimi, kuna nguo za madancer na vinginevyo ambavyo nilitegemea kuvilipa baada ya show lakini mambo yakawa tofauti.
Kimsingi, sisi wasanii tuliokuwa kwenye fiesta hatuna kinyongo na upande wowote. Sisi ni wafanya biashara na ndiomana hata tukiitwa kwenye kipaimara tutaenda as long as we get paid.
Hivyo, kama Wasafi wanavutiwa na msanii yeyote yule aliyekuwa kwenye show ya Fiesta wasisite kumfata na kufanya nae kazi. Hata mimi nipo tayari bila hofu yoyote.
NB; Fiesta mtumalizie malipo yetu ya show tulizopiga mikoa mingine