abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Habar wadau
Siku zote Hua na simama na Maneno Aliowahi kusema Alikiba juu ya Wasafi na Diamond kuwa wanapenda kuonyesha Mbele za watu kuwa wao hawana Tatizo lolote na mtu Ila uhalisia wa Ndan ni watu Wabaya Sana Tena sio watu wa kukaa nao sehemu moja
Yani wanakuibia Penseli halafu Wanasaidia kutafuta
Ni siku Mbili toka Nandy aachie yake yeye Pamoja Alikiba na kuiweka kwenye Boom play kitu ambacho kibiashara ni kizuri kwa upende wake Nandy ila hii Adui zake wanaitumia kama Fimbo kwake kwan Watanzania wengi huwa hawaangalii platform yoyote zaidi ya YouTube na Huwa wanaamin hicho ndio kipimo cha msanii mkubwa
Juzi pia Zuchu na Rayvan wameachia nyimbo yao na kuiweka YouTube na Kuanza kuipa promo na wala ilo sio kosa ila kosa na uhujum u ninaousemea ni huu
Nandy bado hajauweka wimbo wake YouTube na ili ni kosa naweza kusema sababu Mpaka sasa YouTube Kuna account zimeshauweka wimbo wa Nandy kwa account nyingi tofauti tofauti kitu ambacho kitapelekea Nandy asifanye vizuri kwenye YouTube hapo baadae atakapoamua kuweka wimbo wake
Pia page za udaku kama kina Lokole, udaku tz nk wanahamasisha watu wakaangalie wimbo wa Nandy YouTube kwenye account ambazo siyo Rasmi wakiwa na lengo la kwamba mziki uwafikie mashabiki na watanzania mapema kabla ya Nandy kuuweka kwenye account yake ya YouTube na kufanya Nandy afeli kwenye Upande wa view na Trend ili waendelee na Drama zao za Zuchu ni Tanzania one.