Wasafi Record Label kutambulisha msanii mpya katikati ya Novemba

Wasafi Record Label kutambulisha msanii mpya katikati ya Novemba

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Screenshot_20231102-195151.jpg

Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi kipya.

Mapaparazi wengi wakedai msanii huyo uenda ni wa nyimbo za Singeli
 
Huyo dogo namjua, sio huenda bali ni mwimba singeli ila simtaji
 
Back
Top Bottom