Wasafi TV chaneli yenu inaboa

Wasafi TV chaneli yenu inaboa

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Yaani chaneli ya Wasafi Tv inachenga za kutosha utasema enzi zile za analogi.

Unakuta unaangalia kipindi lakini watu huwaoni wanazibwa na chengachenga unabaki kusikia sauti tu🚮🚮🚮

Mjifunze basi kwa wenzenu tatizo hili ni la muda mrefu sasa, hamna mafundi huko??
 
Nilijua Ni Mimi king'amuzi changu fake kumbe ni wao!
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Harmonize alisema kipindi wanaanzisha media walikua wanaungaunga kwa kununua waya mmoja mmoja Kariakoo na Posta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
 
Yaani chaneli ya Wasafi Tv inachenga za kutosha utasema enzi zile za analogi.

Unakuta unaangalia kipindi lakini watu huwaoni wanazibwa na chengachenga unabaki kusikia sauti tu🚮🚮🚮

Mjifunze basi kwa wenzenu tatizo hili ni la muda mrefu sasa, hamna mafundi huko??
Afu kuna kale kasauti kama karedio, unakuta unasikiliza wimbo gafla unamsikia baba levo anamsuta jeshi
 
Back
Top Bottom