Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hujui unachoongeatumia decoder ya hdmi
Acha kudandia dandia mamboWasafi wanaboa au Kwako ndio kuna shida hapo
Hata upande wa star times wanazinguaMimi natumia king'amuzi cha Azam TV,kuna muda Wasafi TV inakuwa km CD inayosratch,vipindi vya live ndy balaa zaidi.Alafu ni Chanel moja Tu ndy inaleta hiyo shida
Sijui solution ni nini
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544]Harmonize alisema kipindi wanaanzisha media walikua wanaungaunga kwa kununua waya mmoja mmoja Kariakoo na Posta
Afu kuna kale kasauti kama karedio, unakuta unasikiliza wimbo gafla unamsikia baba levo anamsuta jeshiYaani chaneli ya Wasafi Tv inachenga za kutosha utasema enzi zile za analogi.
Unakuta unaangalia kipindi lakini watu huwaoni wanazibwa na chengachenga unabaki kusikia sauti tu🚮🚮🚮
Mjifunze basi kwa wenzenu tatizo hili ni la muda mrefu sasa, hamna mafundi huko??
HDMI sio decoder ni mfumo wa kuunganisha vifaa. Bora ungesema tumia cable ya HDMI. DECODER walau zipo za HDTumia decoder ya hdmi
Acha kudandia dandia mambo