Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Azam media imesitisha rasmi kutoonesha mapambano ya boxing tena kwa kesi inayowakabili ya kuiba Idea ya neno "Vitasa".
Sasa Wasafi media iangalie namna ya kuwahi hiyo fursa ya kuonesha mapambano ya boxing kwa kuja na slogan na mbinu mpya za kukuza huo mchezo.
Watanzania kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakiufuatilia sana huu mchezo hivyo maamuzi ya Azam media kusitisha rasmi kuonesha huu mchezo ni pigo kubwa sana kuanzia kwa mambondia wenyewe, walimu wao, mapromota, mashabiki na taifa kwa ujumla.
Fursa ipo wazi wachangamke ,mabondia wameshaanza kulia lia njaa huko.