Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Unataka kutudanganya kwamba utajiri wa huyo mama ni wa KUSAGA au[emoji848]?KUSAGA kamkuta huyo mama akiwa na utajiri.
Hahah cheki ulivyo boya sasa,hujui hata huyo mama alikua anaishi kota pale Maghorofani hahah.

Sijui huo utajiri alitoka nao wapi,labda pale maghorofani walikokua wamejazana ndg kama wote.,hahah.
 
'Nimekupuuza rasimi Kwakua,huna lolote unalolijua kuhusu biashara, na elimu yako ni ya kwenye makaratasi na haijakusaidia chochote.'

Hahah umeulizwa value ya Brand kwny B/Sheet ya wasafi unaanza kuruka ruka.

Sikukutuma ukimbie shule arifu,hahah.
 
Hahah cheki ulivyo boya sasa,hujui hata huyo mama alikua anaishi kota pale Maghorofani hahah.

Sijui huo utajiri alitoka nao wapi,labda pale maghorofani walikokua wamejazana ndg kama wote.,hahah.
😂😂😂😂 Kidoooogo wadanganye, nyumbu wenzako wasiojua chimbuko la huyo dada, sio mimi. Boya ni wewe unayatafuta sababu za kuishabikia WASAFI MEDIA kwa kujifariji kuwa mmiliki wa Clouds na WASAFI ni yuleyule.

👉Boya ni wewe jobless, ulieshinda humu jF kuanzia uzi uanzishwe hadi usiku huu Ili ubishane na ukweli unaoelezwa na watu.
 
'Nimekupuuza rasimi Kwakua,huna lolote unalolijua kuhusu biashara, na elimu yako ni ya kwenye makaratasi na haijakusaidia chochote.'

Hahah umeulizwa value ya Brand kwny B/Sheet ya wasafi unaanza kuruka ruka.

Sikukutuma ukimbie shule arifu,hahah.
Tufanye basi WASAFI ni Clouds B😂
 
'Boya ni wewe jobless, ulieshinda humu jF kuanzia uzi uanzishwe hadi usiku huu Ili ubishane na ukweli unaoelezwa na watu'.

Hahah haya mambo huwezi kuyaelewa,wewe subiri uhadithiwe na radio mbao za huko mtaani,BTW Wkt unakuja mjini stand uliikuta iko wapi?Mnazi mmoja au Ubungo?

Hahah cha ajabu boya mkuu ambae ni (Mwajiri) yuko anabishana na boya mwenzake(ambae ni jobless),hakika kipofu kauona mwezi.
 
Kw
acha kukaza fuvu bhana maana nimeshasema kuwa , WASAFIMEDIA iko top kwa kila kitu , Sasa Kama cloudstv ni kubwa kwa wasafi why tigo wamewakimbia..? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Tigo haiwezi kuzamani matamasha yote mawili?
 
'Hizo hisa 10% anazozidiwa diamond haziwezi lingana na brand ya WASAFI'.

Kwa hio kwny Balance Sheet ya Wasafi, brand(Asset) imekua valued ni Sh. Ngapi?hahah kukimbia shule shida zake ndio kama hivi sasa.
Na vivyo hivyo, hiyo 10% NI ndogo sana kwenye branding interest Kama umesoma so kasome kwanza ndo uje hapa, maana Mimi ni B. D wa BRELA sawa kidogo mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika wala hujakosea,hata ITV kufika pale ni akili za Joyce Mhaville.,hahah.

Soon itabidi aanzishe Mhaville Media,hahah.
sasa ITV redio local ndo ulinganishe na WASAFI brand kubwa chini ya genius DIAMOND PLATINUMZ serious...!!!??? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahah cheki ulivyo boya sasa,hujui hata huyo mama alikua anaishi kota pale Maghorofani hahah.

Sijui huo utajiri alitoka nao wapi,labda pale maghorofani walikokua wamejazana ndg kama wote.,hahah.
[emoji23][emoji23][emoji23] angalia ulivyo boya, mbumbu na MBUGIRA yaani haujui Kama huyo mama kwao wana hela Kama zote na yeye huyo mama anahela Hadi alimuongezeaga mtaji kusaga wa kuanzisha cloudsmedia...!!!?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ntaelewekaje kwa watu wenye elimu za hapa na pale.
sasa kwani walikwambia uishie la Saba Z , nenda hata memkwa ukasome biashara ukafungue genge, WASAFI CHAMA LAO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3514]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…