Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Kil zama na nabii wake si jambo la kushangaza clouds kupigwa chin alaf hkn ajuae sababu..!!
 
Mnaonesha wazi kabisa mnayebishana humu ndani mnamiliki MATAKO TU pumbavu
 
tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao[emoji23][emoji23][emoji23],WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Vijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts.

Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018)

Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga..!!

Kwanini nasema hivyo?

Hebu tuingie darasani...

Ukisoma Corporate Governance vizuri inakufundisha kwamba "The majority shareholder is the owner of the company"
Hili ndilo lililoifanya Simba SC. Kumnyima 50% of the shares MO na kumpa 49.
Kwasababu siku zotee anaemiliki 50% na zaidi ndio mmiliki mkubwa na mwenye sauti (high voting power).

WASAFI TV share holders...
Who is majority shareholder?
1. Zaghalulu Ajmy (Mke wa Kusaga) = 53%
2. Nasibu Abdul Juma (Diamond) = 45%
3. Ali Khatib Dai = 2%

Then the majority share holder is 1 = mke wa kusaga = Kusaga.
 
sasa ITV redio local ndo ulinganishe na WASAFI brand kubwa chini ya genius DIAMOND PLATINUMZ serious...!!!??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ipe heshima yake ITV ni chombo chenye uweledi mkubwa sana kuliko chombo chochote nchi,ktk kuwasilisha habari na hiyo haitoshi hizo radio zote za FM wamekopi vitu vingi kutoka Radio One na kuvifanyia modification.
 
Niseme uongo hapa.. katika swala la ubunifu clouds wako mbali Sana... Wasafi wanajua na ndo maana Mambo yao yote wanataka kuwa sawa na clouds medias
Hata wasafi nao wanazidi kuwa wabunifu pia
Mfano walikuja na vipindi vyao kuonekana live kupitia youtube
kitu ambacho clouds hawakuwa Nacho labda liwe tukio muhimu
Kubali kataa clouds haina ubunifu tena
 
Hata wasafi nao wanazidi kuwa wabunifu pia
Mfano walikuja na vipindi vyao kuonekana live kupitia youtube
kitu ambacho clouds hawakuwa Nacho labda liwe tukio muhimu
Kubali kataa clouds haina ubunifu tena
Tokea ruge aondoke duniani wamekuwa utopolo
 
Hii nondo nzito haswa.
 
me naona mjadala wa umiliki ungeishia kwenye hii koment. Tuendelee na tigo kuwakimbia clouds na kwenda wasafi
 
NO WASAFI WITHOUT DIAMOND PLATINUMZ
Umeyamaliza No Diamond No Wasafi full stop labda waanzishe Wachafu ao Kiba Media
 
Umeeleza vizur ila umemalizia utopolo , sasa mke wa kusaga ndo kusaga , ?? Umeelezea Sheria ya shareholders vzuri, haya twambie Sheria inasemaje Mali ya mke ndo ya Mme pia? Kusaga mwenyewe si Alisha lisemea hili....
 
Ipe heshima yake ITV ni chombo chenye uweledi mkubwa sana kuliko chombo chochote nchi,ktk kuwasilisha habari na hiyo haitoshi hizo radio zote za FM wamekopi vitu vingi kutoka Radio One na kuvifanyia modification.
Sijawah ona utofauti kati ya ITV, redio one na vituo vingine vya habari , huwa naona ni promo Tu wanajipa ITV , huenda Kwa sababu ya ukongwe na influence ya Mengi kama mchaga na wafanya biashara wengi wachaga kupeleka matangazo pale, but nothing new....Sana Sana ITV ndo kituo chenye camera mbovu kuliko vyote
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ktk maisha yangu haya tokea najitambua najua nini umuhimu wa taarifa ya habari,kwa Tanzania hii hamna kituo kinacho ifikia ITV ktk uwasilishaji wa habari,alafu ina coverage kubwa.

ITV wapo vizuri sana,radio ndio kituo kilicho zi shape hizi radio za FM unazoziona sasa ila kosa lao kubwa hawa kuaenda sambamba na wakati na walijiona bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…