Wasafi TV kwanini wanapiga nyimbo za Msanii aliyekataa nyimbo zake kupigwa

imekuaje

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
221
Reaction score
426
Hapa naangalia Wasafi TV.

Naona wanaplay nyimbo ya HAKUNAGA ya Suma Lee ambaye kwa sasa ni mfia dini alisilimu muda mrefu sana.

Imekuaje wamepiga hii nyimbo wakati mwenyewe alizuia hili suala.

Je, kuna kosa kama ataamua kuwashtaki wanasheria mnijibu hapa.

Nawasilisha
 
Je alizuia wapi hizo nyimbo zisipigwe, alimwambia nani kuwa hataki nyimbo zake zipigwe? Inawezekana huyo mtangazaji aliyepiga hiyo nyimbo hata hajui huyo Suma Lee yuko wapi. Kama msanii hutaki nyimbo zako zipigwe ni vyema ukatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya habari, ili atakayekiuka aweze hata kumchukulia hatua za kisheria.
 
Hapa naangalia Wasafi TV.

Naona wanaplay nyimbo ya HAKUNAGA ya Suma Lee ambaye kwa sasa ni mfia dini alisilimu muda mrefu sana.

Imekuaje wamepiga hii nyimbo wakati mwenyewe alizuia hili suala.

Je, kuna kosa kama ataamua kuwashtaki wanasheria mnijibu hapa.

Nawasilisha
Suma lee hakuwahi kusilimu ,huyo ni muislamu kitambo ila amerudi kwenye uongofu
 
Sasa kama ametoa hy taarifa Instagram au tiktok unategemea iwe taarifa rasmi?
 
Hapa naangalia Wasafi TV.

Naona wanaplay nyimbo ya HAKUNAGA ya Suma Lee ambaye kwa sasa ni mfia dini alisilimu muda mrefu sana.

Imekuaje wamepiga hii nyimbo wakati mwenyewe alizuia hili suala.

Je, kuna kosa kama ataamua kuwashtaki wanasheria mnijibu hapa.

Nawasilisha
Suma lee hajawahi kataa nyimbo zake kupigwa na hata alipoacha hakutangaza Kwa mbwembwe Bali tulikuja fahamu badae sana ndo maana account yake YouTube bado ipo
 
Je hiyo nyimbo anaimiliki 100% kuna haki za producer, mwandishi WA nyimbo Mk hao wengine wanataka mirahaba
 
Back
Top Bottom