Je alizuia wapi hizo nyimbo zisipigwe, alimwambia nani kuwa hataki nyimbo zake zipigwe? Inawezekana huyo mtangazaji aliyepiga hiyo nyimbo hata hajui huyo Suma Lee yuko wapi. Kama msanii hutaki nyimbo zako zipigwe ni vyema ukatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya habari, ili atakayekiuka aweze hata kumchukulia hatua za kisheria.Hapa naangalia Wasafi TV.
Naona wanaplay nyimbo ya HAKUNAGA ya Suma Lee ambaye kwa sasa ni mfia dini alisilimu muda mrefu sana.
Imekuaje wamepiga hii nyimbo wakati mwenyewe alizuia hili suala.
Je, kuna kosa kama ataamua kuwashtaki wanasheria mnijibu hapa.
Nawasilisha
Suma lee hakuwahi kusilimu ,huyo ni muislamu kitambo ila amerudi kwenye uongofuHapa naangalia Wasafi TV.
Naona wanaplay nyimbo ya HAKUNAGA ya Suma Lee ambaye kwa sasa ni mfia dini alisilimu muda mrefu sana.
Imekuaje wamepiga hii nyimbo wakati mwenyewe alizuia hili suala.
Je, kuna kosa kama ataamua kuwashtaki wanasheria mnijibu hapa.
Nawasilisha
Suma lee hajawahi kataa nyimbo zake kupigwa na hata alipoacha hakutangaza Kwa mbwembwe Bali tulikuja fahamu badae sana ndo maana account yake YouTube bado ipoHapa naangalia Wasafi TV.