Wasafi TV ni Bora sana kuliko TV nyingi za entertainment

Wasafi TV ni Bora sana kuliko TV nyingi za entertainment

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Nimekua mara moja moja nikitazama hii TV, jambomoja nililogundua ni kwamba Naseeb hafanyi mambo ya kubahatisha akifanya kitu anafanya kweli. Wasafi TV kuanzia muonekano wa picha, vipindi vyao vinavyotengenezwa, wako vizrui compared na TV kama clouds iliyokuwepo kabla yao.

Mimi nimekuwa mpenzi wa CMG toka kipindi ila kwa TV wanafail sana, vipindi vyao vinakuja na kupotea, hawana mpangilio mzuri wa vipindi, wanaanzisha vitu wanashindwa kuviendeleza. Na muda mwingine wanafanya fanya tu.

Keep it up waasafi TV, wasafi redio siisikilizi hivyo sijui vipindi vyao.
 
Nafaka,

Nakubaliana na mada yako,

Wasafi tv kuanzia quality ie kimuonekano mpk content ktk vipindi vyao wanajitahidi sana!

Ukija kwa hawa Clouds wamefanikiwa sana ktk kuwa na program nzuri za Radio kuanzia maudhui ya vipindi, watangazaji wenye talents mpaka audience ya kutosha ila upande wa Clouds Tv bado hawajakaa wima hata kidogo, wameshindwa kuwa na vipindi mbalimbali ambavyo vimeteka audience na vikadumu kwa muda mrefu.
Kwa mfano kipindi cha Shilawadu kilitikisa sana lakn baada ya muda kimemeguka meguka na kugeuka kituko
 
Eatv ndio baba lao, sema hawana mbwembwe kama hao wengine, sema Wasafi wanaweza kuwa juu zaidi ya clouds kwa sababu ya kuchukua producers wa vipindi kutoka Eatv
 
Nafaka,

Nakubaliana na mada yako,

Wasafi tv kuanzia quality ie kimuonekano mpk content ktk vipindi vyao wanajitahidi sana!

Ukija kwa hawa Clouds wamefanikiwa sana ktk kuwa na program nzuri za Radio kuanzia maudhui ya vipindi, watangazaji wenye talents mpaka audience ya kutosha ila upande wa Clouds Tv bado hawajakaa wima hata kidogo, wameshindwa kuwa na vipindi mbalimbali ambavyo vimeteka audience na vikadumu kwa muda mrefu.
Kwa mfano kipindi cha Shilawadu kilitikisa sana lakn baada ya muda kimemeguka meguka na kugeuka kituko
Shilawadu kimekosa mvuto baada ya kuacha kuwaongelea WCB na kuacha kufuatilia familia nzima ya Diamond hivyo wamekosa habari zenye mvuto.
 
Hakuna kitu hapo Eatv ipo juu tv gan inagonga ngoma za nje %60 pili hakuna kpnd cha maana kipya tofaut na wengne
 
Back
Top Bottom